Kikala-Lagaw-Ya

Eneo la Kikalaw-Lagaw-Ya kwenye visiwa vya Torres Strait (rangi ya machungwa)

Kikalaw-Lagaw-Ya (au Kikala-Lagaw-Ya; pia Kitorres-Strait cha Magharibi) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanavisiwa wa Torres Strait katika jimbo la Queensland kwenye visiwa vya Torres Strait. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kikalaw-Lagaw-Ya ilihesabiwa kuwa watu 1220. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalaw-Lagaw-Ya kiko katika kundi lake lenyewe la Kikalaw-Lagaw-Ya.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne