Kikalabra

Kikalabra ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakalabra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikalabra imehesabiwa kuwa watu 3290. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikalabra iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne