Kikamano ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakamano. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikamano imehesabiwa kuwa watu 63,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamano iko katika kundi la Kigorokan.