Kikaraboro-Mashariki

Kikaraboro-Mashariki (au Kikar) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakaraboro. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikar nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji 5610 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikar iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne