Kikarekare

Kikarekare ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakarekare. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikarekare imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarekare iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne