Kikeak ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakeak. Idadi ya wasemaji wa Kikeak haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeak iko katika kundi la Kindu.
Developed by Nelliwinne