Kikobon

Kikobon ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakobon. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikobon imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikobon iko katika kundi la Kimadang.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne