Kikolbila ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakolbila. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kikolbila imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikolbila iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.