Kikonzo

Kikonzo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakonzo wanaokaa mpakani na Rwanda.

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikonzo iko katika kundi la J40.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne