Kikoro (Cote d'Ivoire)

Kikoro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakoro. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikoro imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoro iko katika kundi la Kimande.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne