Kikorop

Kikorop ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wakorop. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikorop nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 10,200 na nchini Kamerun 7440. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikorop iko katika kundi la Cross River.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne