Kikrache ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wakrache. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikrache imehesabiwa kuwa watu 58,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrache iko katika kundi la Kikwa.
Developed by Nelliwinne