Kikuhane

Kikuhane (pia Kisubiya) ni lugha ya Kibantu nchini Namibia, Botswana na Zambia inayozungumzwa na Wakuhane. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuhane nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 26,600. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Botswana (2006) na wasemaji 1350 nchini Zambia (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikuhane iko katika kundi la K40.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne