Kikukna

Kikukna ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakukna. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikukna imehesabiwa kuwa watu 111,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikukna iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne