Kikuman

Kikuman ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakuman. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikuman imehesabiwa kuwa watu 115,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuman iko katika kundi la Kichimbu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne