Kikuo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakuo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikuo nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 11,800. Pia kuna wasemaji 2980 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.