Kikurdi

Kikurdi (kwa lugha hiyo: کوردی, Kurdî, tamka: [ˈkuɾdiː]) ni kundi la lahaja za Kiajemi zinazotumika na Wakurdi wengi (milioni 20-30 hivi) huko Mashariki ya Kati.

Ni lugha rasmi mojawapo katika nchi ya Iraq, lakini katika nchi nyingine, hasa Syria, hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne