Kikutu

Kikutu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakutu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikutu imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikutu iko katika kundi la G30.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne