Kilaragia

Eneo la kihistoria la Kilaragiya (rangi ya zambarau)

Kilaragiya (pia Kilaragia au Kilarrakia) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Walaragiya katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006 idadi ya wasemaji wa Kilaragiya ilikuwa watu 23 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilaragiya hakilingani na lugha nyingine, ila labda Kiumbugarla.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne