Kilaro

Kilaro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Walaro. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kilaro imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaro iko katika kundi la Kikordofani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne