Kilelemi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Walelemi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kilelemi imehesabiwa kuwa watu 48,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilelemi iko katika kundi la Kikwa.
Developed by Nelliwinne