Kileyigha

Kileyigha ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waleyigha. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kileyigha imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kileyigha iko katika kundi la Cross River.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne