Kilogo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walogo. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilogo imehesabiwa kuwa watu 210,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilogo iko katika kundi la Kimoru-Madi.