Kiloko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Waloko. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiloko imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiloko kiko katika kundi la Kimande.
Developed by Nelliwinne