Kilomwe cha Malawi

Kilomwe cha Malawi ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Walomwe. Hakielewekani na Kilomwe cha Msumbiji. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilomwe cha Malawi imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilomwe haiainishwi kwa vile ni mchanganyiko wa lugha ya Kinyanja ambayo iko katika kundi la N30 na wa lugha ya Kimakua ambayo iko katika kundi la P30.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne