Kilonguda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walonguda. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kilonguda imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilonguda iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.