Kimagori

Kimagori ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamagori. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimagori imehesabiwa kuwa watu 100, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimagori iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne