Kimai-Brat

Kimai-Brat ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamai-Brat. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimai-Brat imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimai-Brat iko katika kundi la Kimaybrat.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne