Kimaindo

Kimaindo ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamaindo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimaindo imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimaindo iko katika kundi la P30.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne