Kimakhuwa

Kimakhuwa ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa iko katika kundi la P30.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne