Kimalay cha Larantuka

Kimalay ya Larantuka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Larantuka imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Larantuka iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne