Kimalgbe ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamalgbe. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalgbe imehesabiwa kuwa watu 6000. Pia kuna wasemaji nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalgbe iko katika kundi la Kichadiki.