Kimatal ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamatal. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimatal imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimatal iko katika kundi la Kichadiki.
Developed by Nelliwinne