Kimbere

Kimbere ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wambere. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbere nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 60,400 na nchini Gabon 45,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbere iko katika kundi la B60.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne