Kimburku ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamburku. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimburku imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimburku iko katika kundi la Kichadiki.
Developed by Nelliwinne