Kimesme ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamesme. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimesme imehesabiwa kuwa watu 20,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimesme iko katika kundi la Kichadiki.
Developed by Nelliwinne