Kimofu-Kaskazini

Kimofu-Kaskazini ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamofu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimofu-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 27,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimofu-Kaskazini iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne