Kimoklen ni lugha ya Kiaustronesia nchini Uthai inayozungumzwa na Wamoklen. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kimoklen imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoklen iko katika kundi lake lenyewe la Kimoklen.
Developed by Nelliwinne