Kimolbog ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Ufilipino inayozungumzwa na Wamolbog. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kimolbog nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 7000. Pia kuna wasemaji 6680 nchini Ufilipino (1990). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimolbog iko katika kundi la Kifilipino.