Kimomina

Kimomina ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamomina. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kimomina imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimomina iko katika kundi la Kisomahai. Wengine huiangalia kuwa lugha ileile ya Kimomuna.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne