Kimorokodo

Kimorokodo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamorokodo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kimorokodo imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimorokodo iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne