Kimpoto

Kimpoto ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wampoto. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kimpoto imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimpoto iko katika kundi la N10.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne