Kimwera

Kimwera ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamwera. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimwera imehesabiwa kuwa watu 469,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwera iko katika kundi la P20.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne