Kinage

Kinage ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanage kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinage imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinage iko katika kundi la Kibima-Lembata.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne