Kinapu

Kinapu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanapu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinapu imehesabiwa kuwa watu 6100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinapu iko katika kundi la Kicelebiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne