Kinarrinyeri

Kinarrinyeri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanarrinyeri katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kinarrinyeri ilihesabiwa kuwa watu 160, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarrinyeri kiko katika kundi lake lenyewe la Kinarrinyeri.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne