Kinend

Kinend ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanend. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinend imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinend iko katika kundi la Kimadang.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne