Kingam

Kingam ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangam. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kingam nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 43,700. Pia kuna wasemaji 17,700 nchini Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingam iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne