Kingelima (lugha)

Kingelima ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangelima. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingelima imehesabiwa kuwa watu 13,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingelima iko katika kundi la C50.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne