Kingindo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangindo. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingindo imehesabiwa kuwa watu 220,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingindo iko katika kundi la P10.
Developed by Nelliwinne